Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Ya kawaida sana haya, haina haja ya kuwa too emotion, simama, jikung'ute mavumbi endelea na safar, msikumbuke wala kuwaombea mabaya, kaa ukijua mipango ya Mungu c sawa na mipango ya wanadamu, ukipata wako mtatulia vyema, ila kama bado unapata shida na mwingine kaa ukijua upo kwenye mafunzo ya kutulia na wako.
 
Duuh akina jackline wametisha sana,

Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
Brother ulimsomesha kabisa? Kwa wema lakini akakulipa cheating
 
Inauma kugawana boom na boyfriend ili alipe ada coz hana mkopo then mnamaliza anapata kazi anakutana na totoz anakuona bibi teh teh teh....kibaya magu anakuja kukukata 15%unasikia uchungu ukizingatia boom umegawana na nguchiro mmoja hivi.....
 
Back
Top Bottom