Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Hamna kituu bhanaVepee?
Hamna kituu bhanaVepee?
Basi na mimi nimesahau..Hamna kituu bhana
Hahah... Maria aliwahi kukuonyesha mapenzi ni nini eeeh?namba moja weka Maria/Marry kenge hawa
Acha hizo bwana... Njoo Niambie kule hebu!!Basi na mimi nimesahau..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] braza hii timu ya netballZuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Yaani wametajwa mpaka basiKwahizi comments pole yao kina Marry,Jacky,Lucy n.k
Mkuu sijakuona siku nyingi .......Upo....?Basi na mimi nimesahau..
Nacheka kama mwehu kwa uzi huuYaani wametajwa mpaka basi
Nipo mkuu.Mkuu sijakuona siku nyingi .......Upo....?
Unafurahisha sana kila mtu na povu lakeNacheka kama mwehu kwa uzi huu
Shida tu mkuu.........Chungu na Tamu vyote vimechanganywa pamoja......Tabu kwelikweli.........!!!!Nipo mkuu.
Kama kawaida...
Za kupotea
[emoji23] [emoji23] taja wako bibie jomoni...!Nacheka kama mwehu kwa uzi huu