Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

wangu nayeye anaitwa Getrude kubabekkk.. niinbox plz unipe mkasa mzima
wangu nae anaitwa getrude nilizoea kumuita da getu hatimae ikawa dada kweli. wanawake bwana ningekua sijaoa nisingejihusisha na wanawake tena.
huyu msichana hapa jf nimewahi kuleta post nyingi sana za kuomba ushauri. nashukuru Mungu nimeoa ndoa takatifu na mtoto juu na kwa leo tuna mwaka na siku 5
ila huyo getrudi nilikaa nae miaka minne hashiki mimba wala nini. lakini baada ya kuniacha waka 2013 miaka miwili baadae nikasikia ana mtoto. yote ya yote mwanamke ukiondoa mama bibi shangazi dada usiwae kura ya amini hata siku mojaaaaa! dagetu Mungu awe nawe kwa kila hali nilikupenda sana wala sitakuchukia zaidi ya kukuombea. ombi langu nisingependa kukutana nawe hata siku moja, shukrani mwaka wa sita sijwaikukutana nawe.
 
Huyo alikuwa nyoko
Aqkhuuu. Silitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linikome,yaani umenifanya nimkumbuke yule dogo mpaka alifumwa maana yeye waalimu wa kiume wakawa wanamgombania(nimesoma girls) walinzi ndio usiseme. Akatimuliwa shule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari kweli
 
Duuh akina jackline wametisha sana,

Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
Neema nao malaya *******, kuna limoja nilifukuzia miaka miwili nikijua li waifu matirio kutokana na upole wake kumbe sheitwani tu...nyambafu nilikuja kugundua ni bad news baada ya kukuta analuka na mates wangu duh!
 
Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Kuna nini mura
 
Hahahahahahahah...ni noma huyo Anna maxafaka
Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
 
Back
Top Bottom