Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
We kijana utakanyaga waya, hilo jina moja hapo linanihusu na sitegemei litatokezea hapa!Daah...Bado Sijaona Amani au Wilson...! Hakika mimi ni kijana mtulivu...
We kijana utakanyaga waya, hilo jina moja hapo linanihusu na sitegemei litatokezea hapa!Daah...Bado Sijaona Amani au Wilson...! Hakika mimi ni kijana mtulivu...
Dah pole brother...Sia hajawahi niacha salama!!! Nitamtaja hadi mbele za haki
Usicheke bas na mim nkitoa povu heavyNacheka kama mwehu kwa uzi huu
Hilo jina lina laana sijui majority ni brats, ata akiwa mtoto wa Trump utaipata ya freshi! Ni matatizo mzee, na ndio first time ilibidi nikacheki ngoma aisee kutest kama still nipo okay! Thanks God i passed the test!Mtoto wa prof..
Lyidia tuliachana kwa nyodo zako, ulipojua nina Juliet ukaenda kumletea fujo kazini kwake, natamani ukutane na watu wasiojulikana wakubake.
Dah mbavu zangu[emoji23]anna....mpuuzi sana huyo ng'ombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
[emoji3] [emoji3] duuuuhhhhLyidia tuliachana kwa nyodo zako, ulipojua nina Juliet ukaenda kumletea fujo kazini kwake, natamani ukutane na watu wasiojulikana wakubake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani acha kabisa.Haha nashukuru hadi wakati huu sijatajwa. Huu uzi nimecheka kama mwehu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheka kweeli
Umemsahau Irene na lydia, ndio wanaongoza kwa kutajwa.Kwahizi comments pole yao kina Marry,Jacky,Lucy n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisha popote ulipo u ar a fucki* cun*... Niliambiwa sikusikia. Nilikusaidia kupata kazi lakini ulichonifanyia malay* ww... Mwanamke una bonge la komo, ushungi tu unakusitiri.. To hell!!
Haha hadi machozi, hilo komwe ndo umeliona after kukuacha au?Aisha popote ulipo u ar a fucki* cun*... Niliambiwa sikusikia. Nilikusaidia kupata kazi lakini ulichonifanyia malay* ww... Mwanamke una bonge la komo, ushungi tu unakusitiri.. To hell!!
Kabisa.Kusameheana na kila.mtu kuendelea na maisha yake ...sio kupasha viporo
heheheh pole...karibu tena bamagaFerouz mshe,,i wa kiwango cha juu sana kafie mbele
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.
Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia