Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Aiseee, kumbe ndio maana kunawatu wanakunywaga sumu, wengine hujirusha toka maghorofani. Kumbe huwa mnatendwa na kuwatenda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtenda hutendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisha popote ulipo u ar a fucki* cun*... Niliambiwa sikusikia. Nilikusaidia kupata kazi lakini ulichonifanyia malay* ww... Mwanamke una bonge la komo, ushungi tu unakusitiri.. To hell!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] eti una bonge la komo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teopisto a.k.a tonny malipo ni hapahapa duniani hanith kiuno mkubwa we
Hii sled inachekesha sana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha hadi machozi, hilo komwe ndo umeliona after kukuacha au?
C.c espy
Ah hasira tu mkuu, nakumbuka kipindi hana kazi vyuma vimekaza nga nga nga.. Alikuwa kila siku anasema nikojolee ndani apate mimba ila kidume nikawa nawithdraw ili mpk ufike muda sahihi ndio tuwe na mtoto, alipopata kazi nikamkumbusha huo mpango aiseeeee hilo jibu nilipopewa..... Pale sikuwa na mwanamke, lilikuwa jambazi lile
 
Ah hasira tu mkuu, nakumbuka kipindi hana kazi vyuma vimekaza nga nga nga.. Alikuwa kila siku anasema nikojolee ndani apate mimba ila kidume nikawa nawithdraw ili mpk ufike muda sahihi ndio tuwe na mtoto, alipopata kazi nikamkumbusha huo mpango aiseeeee hilo jibu nilipopewa..... Pale sikuwa na mwanamke, lilikuwa jambazi lile
Hahahaha alikupa jibu gani jambazi Aisha? Kuna muda wanawake tunakuwaga desperate kubeba mimba, labda aliona kwa muda huo mimba ndo ingekufanya usimuache; stupidity
 
Duuh akina jackline wametisha sana,

Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
hahahahhaa hawa watu ndo tabia yao, kujiliza, kujitia unyonge pale ukimbana mambo yake ya ajabu

ninae mmoja tabia izo izo, sema ndo vile namkaza tu (siwezi muoa maana tuna ushemeji kwa mbali) basi unabaki unajipigia na tabia zake za kipuuzi
 
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
Hebu fanya analysis kisha leta uzi wa report kwa haraka haraka naona kama wanaume ndo wahanga zaidi na siyo wanawake
 
Arafa nguruepori Mkubwa wewe wiki ya pili hii unanisaliti tu, nikikupigia Simu yako kuanzia saa mbili usiku hupokei mpaka kuanzia saa nne usiku...soon nkipata kalikizo toka huku kambi nakuja kukutegua kiuno na huyo bwege wako, yaani viuno vyote vile unamkatikia Bodaboda fala Mkubwa wewe
hahahaahahha anajua pikipiki ya bodaboda kumbe kapewa tu apeleke hesabu hahahhahaha
 
Back
Top Bottom