Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shunie nimeona jina lako mara nne tu, usihofu sana.

aunt yako espy alikua anatafuta la kwangu kwa kurunzi, kibatari na mishumaa, hajaambulia hata la ukoo tu, namwambia kila siku, mie kijana swafi.
 
Shunie nimeona jina lako mara nne tu, usihofu sana.

aunt yako espy alikua anatafuta la kwangu kwa kurunzi, kibatari na mishumaa, hajaambulia hata la ukoo tu, namwambia kila siku, mie kijana swafi.
Langu limetokea mara tatu duuh!!
Hebu muache aunty yangu.

Ni vile ty wanawake inaonekana kwa kiasi kikubwa huwa hawabebi mizigo ya maex wao. Lasivyo ungetokea kama mara mia hivi.
 
Leo ndio nimejua kumbe Fatuma, Rose, Maua, Yolanda, Evelyn, Jackline, Assumpta, Doreen, Lucy, Joyce, Agnes, Mwamvita, Angel, Martha, Bkoke, Kokubanza, Jasmin na Anna hawako JF au hawajapitia uzi huu. Siamini jina langu halijatajwa mpaka sasa...

Kuna mawili shetani anajua kunisitiri sana au Mungu ameshanisamehe.
 
Wewe wangekuja kukutaja humu server zingezima ghafla.
 
Daaah..huyu HABIBA MUHAMMED KHAMIS shenzi sana uyu demu nilikuwa kama chizi..kulia kama mtoto..maradhi yote yangu ..masomo hayapandi ..nakuota kla siku ..mungu ni samehe ila mpaka kwenye ibada nakufikiria...heee hadi kwenye paper form 4 ya English na math onyo nikija kuzipata hela za maana wajichore kwa wino kijan kwamba wame umia ..manina
Hahaha rumuli moja
 
Mzee wa tathimini endelea, Majina ya kigalatia bado yanaongoza

Majina ya KIDAWA, BHOKE, SIWATU, CHAUSIKU, TULA, JAMILLAH yanaonekana yako salama

Wanaume wanoongoza kuumizwa, nini tafsiri yake? Nguvu za kiume au mambo ya mkuki kwa nguruwe?
Ntaendelea na utafiti. Nina majukumu mengine kidogo nje ya ofisi.
 
Back
Top Bottom