Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Nyie mkikumbukwa kwa mazuri najitoa jf mazima!!

Tatizo huu uzi ni wakukumbukwa kwa mabaya, hapo hautaliona jina langu wala la Mentor
Nafikiri huu uzi utaongoza kwa kuwa na lugha chafu na matusi. Nimecheka sana!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo huu uzi ni wakukumbukwa kwa mabaya, hapo hautaliona jina langu wala la Mentor
Nafikiri huu uzi utaongoza kwa kuwa na lugha chafu na matusi. Nimecheka sana!!!!!!!!!!!!!!
Waarabu wa pemba nyie uh!! Maana sio kwa kujitetea huko!!
 
Silent killers uh!!!
Ila rafiki wewe hata usiongee, wakijitokeza hapa nafikiri ungetukanwa matusi ambayo hayajatungwa.

Hahahahahaaaa matusi ya mtandao? Unaingia kwanza google kuyatafuta......
 
Mie sijawahi umiza jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Ooooh poor Baraka.

haahha huwa namkumbuka sana na alianza nitongoza yeye ndo akaja pampula wangu!bas kumfaham pampula nikaanza nyoooooooooddddddddo !sipend kukumbuka nilivyokuwa namdharau !naumia ! yupo kwenye kampuni ya minara !Engineer !siwez mtafuta !ila anisamehe tu ! na marafiki nao walinipoteza dadek
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia tu na pampula wako mama, si ndio ulimchagua[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.

Aisee mkuu hyo namba tano inanihusu, Kila laheri SARAH BOAZ MKUMBO najua umelipa ubaya kwa ubaya niliyo kufanyia licha ya kukuomba radhi na ukasema umensamehe sasa nimeshangaa ukaamua kuzaa na huyo jamaa .Nakutakia maisha mema wewe, mumeo na mwanao ...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shenzi kweli wewe, bora msafara ni mfupi maana waweza kuwa wa watatu tu. Ila foleni na msururu ni noma.
Soma vizuri, nimeandika SINA foleni... ebo!!
 
Back
Top Bottom