Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] qudadadekiii polee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu uzi umenipunguzia ghadhabu ya siku nzima
 
Mzee baba huyu malaya Jennifer L wa rombo tumeshea nini
Maana sifa ulizotaja ni hizohizo zake, ana miguu kama ngubiti
Malaya chipukizi yule.. Maaaanina
 
Mweupe hivi kibonge kifupi? Naomba unijibu mkuu
 
Wanaume wengi majina yetu hayapo coz madem hawafunguki kama wana wanavyofunguka.
 
Lucy, Lucy, Lucyphine!!!
Qmamae, ulivyonifanyaga mwaka 2012. Tarh 25 mwezi wa July ni sawa sikuwa na namna. Nilikupanda kumamamake mpaka nikawa sijijali mimi, wazazi wako hawakuwa na namna ya kukuwezesha ukiwa si chuo wala nyumbani. Nilijitoa kwako ingawa sikuwa na kazi ila nilijitahidi japo nikupe mia nane niipatapo buku.

Wacha niishie hapa, ila Mwenyezi akutangulie tu katika uyafanyayo ufanikiwe, kuna siku tutaonana tu.
Mimi huyuuuu! Almanusra niwehuke eeeeeh!!!
 
Ilikuwaje boss?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimewahi kusoma comments zako maeneo mbalimbali ukiwa unadhihirisha kuwa ulikubwa na dhahama fulani fulani na ndio maana unakunywa sana... Kumbe shida ni huyo bibie.... Pole sana
Asante financial business karibu konyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…