Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

Huyu Mimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
2,575
Reaction score
2,117
Habari Wakuu
Huu ni uzi maalumu wa kutaja majina ya ajabu uliyowahi kusave kwenye simu yako.

Mimi binafsi huwa namsave mtu kutokana na mahali tulipokutana mfano tumekutana kwenye mwendokasi basii namimi jina nitaliweka hilo hilo.

Nilishawahi Kusave manzi mmoja Ivi Jina Nikaandika Omba omba maana Ye Kila Siku ana omba Omba Saaana .
 
"Simjui"..Huyu mamilox ali'wrong number ila waga tunabofonga tu na stakagi kumuuliza jina lake.
 
Kuna mmoja tulibanjuana karibia mara tatu, alafu ndipo nikamuuliza jina lake!

Akaniuliza kwani umesave jina gani kwenye simu yako? Nikamwambia piga simu yangu ujione, akapiga then akacheka! Nikampa sababu za kumsave vile. Akasema usibadili.
 
Haha
 
Kuna namba nilisave ya jamaa mmjoa ivi, sasa siku moja akaniambia una namba yangu?

Nikamjibu sijui lakini nadhani ipo, akaniambai ebu hakikisha ili unicheki baadae. Akawa ananitajia naandikia inajitokeza kweli nimesave.

Shida ukaja upande wa jina nililomsave *mke Ps. Sasa akauliza umesavuje? Kiukweli hata mm sikujua nimesave nikimaanisha kitu gani niliwaza sana mwisho nikamwambia ni mambo ua truecaller lakin kiukweli nilisave mwenyewe.
 
Hahaha Eti Mke Ps haha Haku mind Jamaa?
 
Back
Top Bottom