Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

Kuna Dem flan alikuwa ananifatilia saaaana ikabidi nimsave GUANTANAMO baadae nikaona haitoshi nikaedit na kumsave BAY OF PIGS alimind sana siku alivyofahamu...
 
Mimi nikuku-save tofauti nakusahau...

Naku-save na jina lako kamili...



Cc: mahondaw
Mimi pia huwa nasahau. Nakumbuka kuna siku kaka yangu alitumia simu ya mwalimu mwenzie kunipigia nikasevu ile namba just in case na nikasave 'ticha'. Baada ya muda katika kuangalia phonebook yangu nikawa najiuliza huyu ticha ni nani? Nikitaka nifute roho inagoma, Baada ya kutafakari sana ikabidi nimpigie, nikamueleza hali halisi akaniambia mimi ni ...... mwalimu wa ..... ndio kukumbuka. Tangu siku hiyo huwa sisevu tena majina ya bandia
 
Mimi kuna mtu nilimsevu 'fala'. Siku moja jirani yangu kaazima simu kakutana nalo aliniangalia kwa mshangao sana
 
Pango
Habari Wakuu
Huu ni uzi maalumu wa kutaja majina ya ajabu uliyowahi kusave kwenye simu yako.

Mimi binafsi huwa namsave mtu kutokana na mahali tulipokutana mfano tumekutana kwenye mwendokasi basii namimi jina nitaliweka hilo hilo.

Nilishawahi Kusave manzi mmoja Ivi Jina Nikaandika Omba omba maana Ye Kila Siku ana omba Omba Saaana .
 
[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo Jf
Tatizo nikisave jina halisi me ndio huwa namsahau mfano Khantwe. Nitaanza kutafakari Khantwe wa wapi. Na ukute kuna khantwe mwingine.😀 Lkn nikisave jina la maeneo husika nitamkumbuka kirahisi.
 
Un smile.. huyu huwa ni tabu kutabasamu.

Chawote..huyu ni baada ya kuona kaweka password mpya kwenye simu yake.
 
Tatizo nikisave jina halisi me ndio huwa namsahau mfano Khantwe. Nitaanza kutafakari Khantwe wa wapi. Na ukute kuna khantwe mwingine.[emoji3] Lkn nikisave jina la maeneo husika nitamkumbuka kirahisi.
Mimi huwa nakumbuka labda iwe nimechukua tu namba bila kuwasiliana
 
[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo Jf
Una moyo; Mimi nafutaga mpaka za marafiki

Yani kila mwezi nasafisha phone book, kukaa na namba hata miezi 3 siwasiliani nayo naonaga ni Mzigo.
 
Fanya unipe kazi mate. Umenifanya nipekue phone book yangu. Kuna namba zingine ninazo sinawasiliana nao miaka karibu minne
Usijali mate kuhusu ilo; Tutafanye wepesi siku si nyingi za usoni.

Miaka 4???? Hao rafiki mizigo wakanyage.
we namba zao unazo lakini zako inawezekana hawana.
 
Back
Top Bottom