MuganyiziMushiMwaipopo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 359
- 691
Kuna Dem flan alikuwa ananifatilia saaaana ikabidi nimsave GUANTANAMO baadae nikaona haitoshi nikaedit na kumsave BAY OF PIGS alimind sana siku alivyofahamu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuwa na sababu ya kusimuliaKuna mmoja tulibanjuana karibia mara tatu, alafu ndipo nikamuuliza jina lake!
Akaniuliza kwani umesave jina gani kwenye simu yako? Nikamwambia piga simu yangu ujione, akapiga then akacheka! Nikampa sababu za kumsave vile. Akasema usibadili.
Mimi pia huwa nasahau. Nakumbuka kuna siku kaka yangu alitumia simu ya mwalimu mwenzie kunipigia nikasevu ile namba just in case na nikasave 'ticha'. Baada ya muda katika kuangalia phonebook yangu nikawa najiuliza huyu ticha ni nani? Nikitaka nifute roho inagoma, Baada ya kutafakari sana ikabidi nimpigie, nikamueleza hali halisi akaniambia mimi ni ...... mwalimu wa ..... ndio kukumbuka. Tangu siku hiyo huwa sisevu tena majina ya bandia
Habari Wakuu
Huu ni uzi maalumu wa kutaja majina ya ajabu uliyowahi kusave kwenye simu yako.
Mimi binafsi huwa namsave mtu kutokana na mahali tulipokutana mfano tumekutana kwenye mwendokasi basii namimi jina nitaliweka hilo hilo.
Nilishawahi Kusave manzi mmoja Ivi Jina Nikaandika Omba omba maana Ye Kila Siku ana omba Omba Saaana .
[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo JfJF, Goba, mbezi....etc hivyo yaani[emoji3][emoji3]
Inategemeana tumekutana wapi.
Kama unavyonekanaga una busara vyeo vyote alikuvua.Mimi kuna mtu nilimsevu 'fala'. Siku moja jirani yangu kaazima simu kakutana nalo aliniangalia kwa mshangao sana
Tatizo nikisave jina halisi me ndio huwa namsahau mfano Khantwe. Nitaanza kutafakari Khantwe wa wapi. Na ukute kuna khantwe mwingine.😀 Lkn nikisave jina la maeneo husika nitamkumbuka kirahisi.[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo Jf
Eti sikutegemea naweza kuona kitu kama hiki kwenye simu yako. Nikamwambia kuna vikubwa zaidi ya hicho hebu nipe simu yanguKama unavyonekanaga una busara vyeo vyote alikuvua.
Mimi huwa nakumbuka labda iwe nimechukua tu namba bila kuwasilianaTatizo nikisave jina halisi me ndio huwa namsahau mfano Khantwe. Nitaanza kutafakari Khantwe wa wapi. Na ukute kuna khantwe mwingine.[emoji3] Lkn nikisave jina la maeneo husika nitamkumbuka kirahisi.
Una moyo; Mimi nafutaga mpaka za marafiki[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo Jf
Me bila hivyo ni changamoto sana.Mimi huwa nakumbuka labda iwe nimechukua tu namba bila kuwasiliana
Mimi kwa kweli huwa nakaa na namba sana tu, kuna watu nna namba zao hatujawasiliana kwa zaidi ya miaka miwiliUna moyo; Mimi nafutaga mpaka za marafiki
Yani kila mwezi nasafisha phone book, kukaa na namba hata miezi 3 siwasiliani nayo naonaga ni Mzigo.
Idara ya masajala inakufaa kabisaMimi kwa kweli huwa nakaa na namba sana tu, kuna watu nna namba zao hatujawasiliana kwa zaidi ya miaka miwili
Fanya unipe kazi mate. Umenifanya nipekue phone book yangu. Kuna namba zingine ninazo sinawasiliana nao miaka karibu minneIdara ya masajala inakufaa kabisa
Taarifa zetu hazitapotea na zitakuwa salama
Usijali mate kuhusu ilo; Tutafanye wepesi siku si nyingi za usoni.Fanya unipe kazi mate. Umenifanya nipekue phone book yangu. Kuna namba zingine ninazo sinawasiliana nao miaka karibu minne
Najua hawana, asilimia kubwa ni ndugu zanguUsijali mate kuhusu ilo; Tutafanye wepesi siku si nyingi za usoni.
Miaka 4???? Hao rafiki mizigo wakanyage.
we namba zao unazo lakini zako inawezekana hawana.