Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

Simu yangu ina majina machache sana ya KE
Nimesema majina ya KE mnielewe vizuri

Ila KE nawasiliana nao vizuri tu Judith unaweza kukuta ni Juma Ttcl
Aisha ni Aidani
Asha unaweza kukuta ni Asheri
Rachel ni Raphael airtel
Venosa ni Victor
Haya mambo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂

Utakamatwa siku.
 
"Usifute" sijui hata niliwaza Nini nikaandika hili jina na nimesahau namba ya nani lkn hadi Leo kwenye contact ipo

"Ahaa Ahaa" namba ya mdada nilimuomba akanigea nikamsevu hivi ,hadi Leo sijabadilisha japo jina lake alinitajia
 
Hahahhhahh! Na huna mpango wa kumcheki?.

Siku akiliona ilo jina hahahah!.
 
Simu yangu ina majina machache sana ya KE
Nimesema majina ya KE mnielewe vizuri

Ila KE nawasiliana nao vizuri tu Judith unaweza kukuta ni Juma Ttcl
Aisha ni Aidani
Asha unaweza kukuta ni Asheri
Rachel ni Raphael airtel
Venosa ni Victor
Haya mambo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Na unajiita good father
 
Back
Top Bottom