Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] hili jibu mwe!Eti sikutegemea naweza kuona kitu kama hiki kwenye simu yako. Nikamwambia kuna vikubwa zaidi ya hicho hebu nipe simu yangu
Kwa hiyo mimi umenisave kwa jina gani, Mvuvi? 😀Huwa nasave majina kulingana na vyeo ama kazi zao/biashara zao.
Mfano: John HR
Bajaji
Masapta sapta
Zimamoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#Kun dog ukishik simu yak unakuta majin y wanyam tu sás nikaandik namb yang kumb mim kanisev mbuz nlimaind san