M alikosea namba nkasema fresh akaanza shobo mara niko hapa mara nini nikamsave jinga"Simjui"..Huyu mamilox ali'wrong number ila waga tunabofonga tu na stakagi kumuuliza jina lake.
HahaKuna mmoja tulibanjuana karibia mara tatu, alafu ndipo nikamuuliza jina lake!
Akaniuliza kwani umesave jina gani kwenye simu yako? Nikamwambia piga simu yangu ujione, akapiga then akacheka! Nikampa sababu za kumsave vile. Akasema usibadili.
Hahaha Eti Mke Ps haha Haku mind Jamaa?Kuna namba nilisave ya jamaa mmjoa ivi, sasa siku moja akaniambia una namba yangu?
Nikamjibu sijui lakini nadhani ipo, akaniambai ebu hakikisha ili unicheki baadae. Akawa ananitajia naandikia inajitokeza kweli nimesave.
Shida ukaja upande wa jina nililomsave *mke Ps. Sasa akauliza umesavuje? Kiukweli hata mm sikujua nimesave nikimaanisha kitu gani niliwaza sana mwisho nikamwambia ni mambo ua truecaller lakin kiukweli nilisave mwenyewe.