Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

Mpaka saa 11 asubuhi pako full.
Hatari sana mkuu.
Wakati natoka Dom kwenda Dar nilipapita, nikasema nikirudi lazima nishuke.
Kweli wakati wa kurudi nikashukia palepale ilikuwa saa 4 usiku, nikapata vibe, saa 10 usiku nikadandia coaster nikarudi zangu Dom nikiwa na vibe kiasi.😋
 
Back
Top Bottom