Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana

Nitaanza na mfano

1. Kidimbwi
2. Toroka uje



Weka jina unalofahamu
Nimesikia jina hapa kwenye Chanel 10+ Muda huu..

JINA: KUMALIJA PUB_ UKONGA
 
Mpaka saa 11 asubuhi pako full.
Hatari sana mkuu.
Wakati natoka Dom kwenda Dar nilipapita, nikasema nikirudi lazima nishuke.
Kweli wakati wa kurudi nikashukia palepale ilikuwa saa 4 usiku, nikapata vibe, saa 10 usiku nikadandia coaster nikarudi zangu Dom nikiwa na vibe kiasi.😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…