Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

1. Kipenda Urembo ( huyu tulisoma nae Primary School. Jina Lake ni Kipenda na la baba yake ni Urembo)

2. Kufahaidhuru (tulikutana nae eneo la kazi yeye alikuwa ofisi nyingine. Sasa sikupata kuuliza kama hilo ni jina lake pekee ake au na la baba yake)
Nimeshakutana na jamaa anaitwa Kaburi. Kuuliza nikaambiwa aliugua sana sana udogoni karibu afe.
 
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.

Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI

1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!

2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.

Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
Mgongo Fimbo.
 
Ninyandue Mbele tumesoma naye shule ya Msingi Jacaranda
 
BUREKI ZAMBERE 🐒

AKAJA AKATO....A balozi wa Zambia
 
Matagi ya soda
enzi hizo itv usipoumuona juliana matagi ya soda na netball yake bas utamshuhudua saidi kengele boss wa chama cha waendesha baiskeli good ald days hakukua na korona red-eyes mataga wala chawa wa kizimkazi
 
Kwa heshima kubwa kwa marehemu, Mungu amuweke pema.
Mimi sikuwahi kusikia jina la Magufuli, je limetokana au lina chanzo na neno kufuli?
 
Back
Top Bottom