macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nimeshakutana na jamaa anaitwa Kaburi. Kuuliza nikaambiwa aliugua sana sana udogoni karibu afe.1. Kipenda Urembo ( huyu tulisoma nae Primary School. Jina Lake ni Kipenda na la baba yake ni Urembo)
2. Kufahaidhuru (tulikutana nae eneo la kazi yeye alikuwa ofisi nyingine. Sasa sikupata kuuliza kama hilo ni jina lake pekee ake au na la baba yake)
Mgongo Fimbo.Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!
2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.
Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
Ninyandue Mbele tumesoma naye shule ya Msingi JacarandaSalamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!
2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.
Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
Muongooooooooo[emoji2]Mwanantombana
Serious Mkuu.. jirani yangu huyo kule shamba mvutiMuongooooooooo[emoji2]
Dah 😃😃Serious Mkuu.. jirani yangu huyo kule shamba mvuti
Huku Regent yuko mzee kufakunoga na mtaa kapewa na kajenga hadi msikitiKuna mwana nimemsikia juzi kati hapa anaitwa
Kufa Kunoga
BUREKI ZAMBERE 🐒Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!
2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.
Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
enzi hizo itv usipoumuona juliana matagi ya soda na netball yake bas utamshuhudua saidi kengele boss wa chama cha waendesha baiskeli good ald days hakukua na korona red-eyes mataga wala chawa wa kizimkaziMatagi ya soda
[emoji23][emoji23][emoji23]BICHWA KOMWE
Sijui kwanini Mama Mkwe wangu alinipaga hili jina!!
Silipendii, basii tu!