Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Mpwa mimi natumia kama hii...nikitaka kupiga simu naenda kwenye yelo peji
![]()
hapo ni mwendo wa kuizungusha tu. Hakuna haja ya kusave majina wala kutuma au kupokea meseji. Life goes on.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa mimi natumia kama hii...nikitaka kupiga simu naenda kwenye yelo peji
![]()
Rafiki yangu ameniambia amesave jina la mpenzi wake kwa simu yake jina la Yohana Mbaatizaji, je hii ni haki? Nimejiuliza sana kwa nini!!!
Pimbi boy
hahaaa imenikumbusha kuna huyo mdada
alikua kwenye sim yake ameseviwa "Guantanamo Bay"
hapo ni mwendo wa kuizungusha tu. Hakuna haja ya kusave majina wala kutuma au kupokea meseji. Life goes on.
ana madhambi yake mengi tu, nio namna ya kupunguza stress, ukishasevu hivyo unapunguza stress juu yake. Good
yeah ni kweli,ila alieseviwa hivo
i cant imagine the feelings wakati wewe
huku umemsave "darling" "husband"
Hapo sasa utata, sikutii hofu ila wanaume wa miaka hii sio sawa na wale wa wakati wa mwalimu. Usilichukulie juu juu ukiwa na nafasi fungua macho zaidi isije ikawa hisia anazotumia kwako ni kwa kumwaza mwanenu.mi wangu majanga niligundua amenisave jina la binti yetu nilichoka mpaka leo kaacha hilo hilo bado najiuliza anamaanisha nini nisaidieni namna ya kutatua issue hii. Ni mke wake wa ndoa kabsaaa tena tuna huu mwaka wa 15
mie hata sijasevu,inakujaga namba tu....
sema nimeikariri kichwani
Mie nimemsave Chaguo la Mungu......