Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JOHNMimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
HahaaaaMimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
Kuna Melkizedeki mmoja tulikutana nae shule aisee.....alikuwa bright sana darasani na nje ya masomo...lakini alikuwa hapendi kulitumia hili jina lake sijui kwanini.Melkizedek
Mimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?