Jina jipya kwa wanawake JamiiForums

MrSocrates

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
46
Reaction score
30
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"

Au nyie mnaonaje wanajamvi?
 
Wengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
 
waite utakavyojisikia ila zingatia kutowavunjia heshima maana wengine wanaweza kuwa; mama zetu/wake zetu/shangazi zetu/dada zetu/shemeji zetu/wana wetu n.k.
 
mimi naona hiyo mkuu inafaa sana.

sasa humu unaweza ukamuita mtu madame kumbe ni me!

sasa mtu kama FF utamuita madame! si ni bibi kabisa.
 
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"

Au nyie mnaonaje wanajamvi?
Unawajuaje kama huyu ni mwanamke?
 
Hahahaaaa kilio changu muanzisha thread umekisikia hili Mkuu hapana kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…