Jina jipya kwa wanawake JamiiForums

Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"

Au nyie mnaonaje wanajamvi?
Mkuu napendekeza tungewapa jina lenye ku sound kiafrica zaid.
Tuwaite mamaz au vipi
 
Wengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
Ha ha haaaaa, kuna siku nilisimamishwa na Askari wa kike nikawa namuita Madame, akachukia sana kwanini namuita Madame wakati yeye sio mwalimu"? Kimoyo moyo Nikasema-kimbilio la waliofeli ni hii kazi.
 
Mwisho wa jina iwepo alama ya utambulisho wa jinsia
 
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"

Au nyie mnaonaje wanajamvi?
Jeshini hakuna madame Captain na mkuu Captain wote ni makapten so siungi mkono edition ya mkuu kwa kufuata jinsia...kuna wanawake humu wana michango ya maana na wenye heshima kuzidi hata unaodhani walistahili kuwa na hati miliki ya ukuu...
 
Madame ni wanawake sasa kuitumia kwa wasichana itakuwa sio sawa,ukizingatia humu hatuwezi kujua nani ni madam nani ni miss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…