Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza waelimishweWengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
😀😀😀😀😀Hii itasaidia kwaharibu kisaikolojia midume inayotumia ID za kike
Mkuu napendekeza tungewapa jina lenye ku sound kiafrica zaid.Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"
Au nyie mnaonaje wanajamvi?
Ha ha haaaaa, kuna siku nilisimamishwa na Askari wa kike nikawa namuita Madame, akachukia sana kwanini namuita Madame wakati yeye sio mwalimu"? Kimoyo moyo Nikasema-kimbilio la waliofeli ni hii kazi.Wengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaaaa alitumwa kujiita Ke
Kuitwa Mkuu veepe Jaman Haikuji .
Mkuu niaje?Kuitwa Mkuu veepe Jaman Haikuji .
Haikuji kwa mwanamke ila ndio hivyo hatukuwa na mbadala.Kuitwa Mkuu veepe Jaman Haikuji .
Wengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
Jeshini hakuna madame Captain na mkuu Captain wote ni makapten so siungi mkono edition ya mkuu kwa kufuata jinsia...kuna wanawake humu wana michango ya maana na wenye heshima kuzidi hata unaodhani walistahili kuwa na hati miliki ya ukuu...Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"
Au nyie mnaonaje wanajamvi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
Hahaaaaaaa umegoma kuitwa madame
Acha kuona dada zangu hawajijui co pw hizo ni dharauWengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
Hahaaaa. Sitaki mieeee ujue.Hahahahaa umenichekesha jamani. Ila madame ni kujikweza.