HahahaKwanza waelimishwe
Madame Sakayo 😛😛Hahaha
Wala mie msijisumbue kunielimisha, niite tu mkuu
Si umeona hainogiii, sema mkuu Sakayo uonee venye iko na ladhaMadame Sakayo 😛😛
Hehe
HeheWengine hawajui maana ya madame..waweza ukawaita hivyo ukashtukizia kichambo
Acha uzwazwa usijifanye wawajua wanawake wote humu jf..au ndo kujipendekeza?Acha kuona dada zangu hawajijui co pw hizo ni dharau
Humu sio jeshini MUKIJeshini hakuna madame Captain na mkuu Captain wote ni makapten so siungi mkono edition ya mkuu kwa kufuata jinsia...kuna wanawake humu wana michango ya maana na wenye heshima kuzidi hata unaodhani walistahili kuwa na hati miliki ya ukuu...
hahaha haiwezi kuwa kweli bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua best ndio maana nimecheka, ingekuwa kweli ningemind na mimi [emoji6]hahaha haiwezi kuwa kweli bwana
JF ni zaidi ya Jeshi...ni mhimili wa nne wa dola...na ambao hata mihimili mingine inautegemea kwa taarifa!Humu sio jeshini MUKI
Mtuite tu B au S
Inabidi kinuke ili aache hio tabia hataweza kutukana wote tutakuwa tumenvuruga kisaikolojia atabadili tyu locationMimi nitaendelea kuita mkuu tu kwa sababu ndio utamaduni wa huku..kwanza wengine wana majina ya ajabu utakuta ana avatar ya kike ukimuita madame kinanuka
Umeniacha mudomo wazi kweli mpemba hashoni lenye tomo finyuJF ni zaidi ya Jeshi...ni mhimili wa nne wa dola...na ambao hata mihimili mingine inautegemea kwa taarifa!
anhaa sawa mkuuInabidi kinuke ili aache hio tabia hataweza kutukana wote tutakuwa tumenvuruga kisaikolojia atabadili tyu location
sawa MADAMEMimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"
Au nyie mnaonaje wanajamvi?