Jina jipya kwa wanawake JamiiForums

Jina jipya kwa wanawake JamiiForums

Jeshini hakuna madame Captain na mkuu Captain wote ni makapten so siungi mkono edition ya mkuu kwa kufuata jinsia...kuna wanawake humu wana michango ya maana na wenye heshima kuzidi hata unaodhani walistahili kuwa na hati miliki ya ukuu...
Humu sio jeshini MUKI
 
Mimi nitaendelea kuita mkuu tu kwa sababu ndio utamaduni wa huku..kwanza wengine wana majina ya ajabu utakuta ana avatar ya kike ukimuita madame kinanuka
 
Mimi nitaendelea kuita mkuu tu kwa sababu ndio utamaduni wa huku..kwanza wengine wana majina ya ajabu utakuta ana avatar ya kike ukimuita madame kinanuka
Inabidi kinuke ili aache hio tabia hataweza kutukana wote tutakuwa tumenvuruga kisaikolojia atabadili tyu location
 
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME"

Au nyie mnaonaje wanajamvi?
sawa MADAME
 
Back
Top Bottom