whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Vyote vitaandikwa nadhani!Wana JF wa uwanja huu naomba msaada kidogo kwa wenye kuelewa wanisaidie
Kwa mfano nataka kufungua biashara yangu kitu muhimu kwenye biashara ni Leseni ya Biashara.
Lakini naomba kujua je ni lazima kuandika jina la biashara kwenye leseni hiyo?
Kwa mfano
MAMA CHAUSIKU MIKATE au
MAMA CHAUSIKU NYWELE au
MAMA CHAUSIKU VIATU.
Leseni ya biashara itaandikwa jina hilo au inaweza kuandikwa jina langu mwenyewe mmiliki?
Msaada tafadhali
Mfano we ni mwajuma abdul na una jina la biashara ambalo limesajiliwa mfano mwajay general supply.Vyote vitaandikwa nadhani!
Jina la biashara itategemea na TIN namba umeandika jina gani na vile vile kama umesajili jina la Biashara BRELA. Hii ipo hiviWana JF wa uwanja huu naomba msaada kidogo kwa wenye kuelewa wanisaidie
Kwa mfano nataka kufungua biashara yangu kitu muhimu kwenye biashara ni Leseni ya Biashara.
Lakini naomba kujua je ni lazima kuandika jina la biashara kwenye leseni hiyo?
Kwa mfano
MAMA CHAUSIKU MIKATE au
MAMA CHAUSIKU NYWELE au
MAMA CHAUSIKU VIATU.
Leseni ya biashara itaandikwa jina hilo au inaweza kuandikwa jina langu mwenyewe mmiliki?
Msaada tafadhali
Ndiyo hilo linawezekanaJe katika kuanza biashara unaweza kupata Tin na leseni bila ya kusajili jina la biashara brela?