whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Wana JF wa uwanja huu naomba msaada kidogo kwa wenye kuelewa wanisaidie
Kwa mfano nataka kufungua biashara yangu kitu muhimu kwenye biashara ni Leseni ya Biashara.
Lakini naomba kujua je ni lazima kuandika jina la biashara kwenye leseni hiyo?
Kwa mfano
MAMA CHAUSIKU MIKATE au
MAMA CHAUSIKU NYWELE au
MAMA CHAUSIKU VIATU.
Leseni ya biashara itaandikwa jina hilo au inaweza kuandikwa jina langu mwenyewe mmiliki?
Msaada tafadhali