Jina la biashara

Jina la biashara

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
natafuta jina la biashara,na nina imani kubwa nitapata ushauri mzuri hapa JF.

aina ya biashara
kutoa huduma ya matangazo kwa wafanyabiashara wadogo,e.g madalali,wauza huduma za saloon,photographers ,real estate agents and job vacancies

matangazo yatakuwa online,kwa bei ndogo kabisa.nitaweka Information kiosk(terminals),ktk maeneo ya vituo vya mabasi,petrol station,etc

e.g mtu akitaka kujua nyumba za kupanga ,anaenda oilcom ya karibu anacheki bure bila kulipia etc.

for a small fee of lets say 500 kwa tangazo moja.unaweka biashara yako.

jina liwe fupi,catchy name ,liwe rahisi kukumbuka .
nawasilisha
 
Nina suggest TanSearch which will stand for Tanzania na Search itawakilisha utafutaji wa jambo fulani, sijui kama jina hilo lishatumika.
 
la lugha gani? kiingereza, kiswahili, kiyunani au kimatumbi? Seriously
 
la lugha gani? kiingereza, kiswahili, kiyunani au kimatumbi? Seriously

lugha yeyote hata kiswanglisha e.g bongo search,

tansearch imekaa vizuri ila kuna Tzadverts tayari
 
lugha yeyote hata kiswanglisha e.g bongo search,

tansearch imekaa vizuri ila kuna Tzadverts tayari

Mbona hayo ni majina mawili tofauti kabisa kwa jinsi yanavyoandikwa na jinsi yanavyotamkwa.
 
baba lao,asante ,bado nasubiri maoni zaidi ili niwe na pool of names to choose from.
ila TAADVERT ,somehow naliona its a mouthfull itakuwa ngumu kumwambia mtu ktk simu 🙂
 
asanteni sana kwa michango yenu,very soon mtapata tangazo la launching of this service.nafunga mjadala kwa kutoa rai ya kuwapa service ya bure wale wote waliochangia ktk ombi langu.🙂
 
asanteni sana kwa michango yenu,very soon mtapata tangazo la launching of this service.nafunga mjadala kwa kutoa rai ya kuwapa service ya bure wale wote waliochangia ktk ombi langu.🙂

trading as..?
 
Back
Top Bottom