Jina la Binti kwenye tangazo la Switch On

Jina la Binti kwenye tangazo la Switch On

Lile tangazo kiukwel limetengenezwa vizuri tasnia ya filamu tanzania ingejitahidi kuiga mfano wa kuchukua video kutoka kwenye tangazo lile na jinsi video ilivo Hd ya high definition. Nawapa big up kwa lile tangazo

Camera za HD shot za dakika chache tu zinafika GB za hatari yani kwaio kuitengenezea movie nzima ya kibongo utahitaji storage za kufa mtu..camera anayotumia moe musa inaitwa red camera kama sikosei nilisomaga sehem shot ya dakika 10-14 inaweza fika GB hata 120 i stand to be corrected maana sizikumbuki vizuri statistics...
 
Sasa kaka kuwa na storage kubwa kuna shindikana nini kama wenzetu wa nje huko inawezekana hata hivo basi hizo red camera kwanini wabongo hawatumii kwenye filamu zao?
 
Sasa kaka kuwa na storage kubwa kuna shindikana nini kama wenzetu wa nje huko inawezekana hata hivo basi hizo red camera kwanini wabongo hawatumii kwenye filamu zao?
Hizo red camera actual name ni red epic anatumia jamaa anaitwa Moe Mussa wa Nigeria nilibrowse online bei yake ni around usd 4000 mpk 39,000 kutokana na specification na aina maana zipo nyingi namaansha hivi mfano kuchukua shot ya dakika 10- 14 unakuta imekula 120GB, sasa jaribu cheki movie ya kibongo sijui ina masaa mangapi tu assume ni 1 hour 20 mins hiyo ni part one labda i.e 10 mins = 120 GB je 80 mins equals to how many GB's ni za kufa mtu kwaio inavyoonesha yani hiyo ni major investment amabayo mtu unatakiwa uwe nayo na pia malipo ya kushoot kukata kata video hiyo mpaka iingie kwenye DVD ambayo ukiicompress at least itaingia kwenye blue ray disc so watu wanaamua ku-opt kwa cheap cameras ku edit video shoot kwa poor quality na matokeo yake ndo tunayo yaona..na pia sina uhakika kama ukifanya major investment hiyo hizo hela zitarudi kwa kweli haya ni maoni yangu na mtazamo...!!
 
Vanesa hana kijungu, yule wa kwenye tangazo ana kijungu!

Kwani huyo wa kwenye tangazo sio Vanessa? Me najua tangazo la switch on wapo Vanessa, Ney na Barnaba. Sasa sijui ni mdada yupi unayemuongelea
 
Kwani huyo wa kwenye tangazo sio Vanessa? Me najua tangazo la switch on wapo Vanessa, Ney na Barnaba. Sasa sijui ni mdada yupi unayemuongelea

namuongelea vanesa feki alowekewa kijungu kwenye tangazo!
 
Back
Top Bottom