Jina la Dkt. Kimei lipo mezani

wavuka maji wengi hata hivyo huwa hawaisaidii nchi kwakweli.
 
Msichojua Bajeti kabla ya kupelekwa bungeni lazima Baraza la Mawaziri waipitie

Lazima TRA wahusishwe katika kushauri

Lazima hazina ihusishwe

Bajeti ni mkono wa Rais
Kwamba watu hawajui hili?
 
Kimei amekaa sana kwenye mambo yahusuyo fedha na kwa mantiki hiyo anao uelewa mkubwa wa nasuala ya fedha kuliko huyu PhD Madilu.
 
Kimei sio "Waziri material", waziri anatakiwa kuwa ni mchakarikaji lakini Kimei haonekani kuwa na kariba huyo. Hata akipewa anaweza asimalize miezi mitatu.
Licha ya mapungufu na nyodo za mzee wa hamieni burundi huyo kimei haiwezi wizara ya fedha na mipango hata uwezo wa kuongea tu in public ni taabu aangaliwe mchumi mwingine ila Kimei is unfit
 
Bas tumpe mumeo wizara zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…