Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wavuka maji wengi hata hivyo huwa hawaisaidii nchi kwakweli.Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda kuanzishwa hivi karibuni ihusuyo mambo ya mipango.
" Ilikuwa yule mvuka maji msaidizi wa jamaa angepandishwa kuwa boss na boss angepelekwa mipango lakini kiongozi atasita kumpandisha mvuka maji mwenzake kwa sababu upepo una dhoruba mno kama unavyotambua."