Jina la hiki kitambaa cha kichwani

Jina la hiki kitambaa cha kichwani

Emmet

Member
Joined
Jan 18, 2019
Posts
82
Reaction score
168
Habari za mda huu naomba kujuzwa jina la hivi vitambaa amabyo black Americans wengi wanapendelea kuviaaa na kwahapa dar ntavipatia wapi na vinauzwa shingapi.

20210813_005205.jpg
 
Durag hizo, zimevaliwa sana miaka ya 90 na 2000 mwanzoni. Nadhani kwa sasa fasheni yake ilishakwisha, cheki maduka ya nguo.
 
Back
Top Bottom