Wakuu kwema?
Sorry sana kwa usumbufu kama nitakuwa nimewakwaza, kama mungu atapenda inshallah Ndugu yenu ndani ya masaa 24 yajayo natarajia kupata katoto ka kike kutoka kwa shemeji/wifi yenu hivo naomba kwa anaejua jina la kike zuri aweze shea na mimi ili tumpatie binti yetu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati[emoji120]