Jina la kike linahitajika chap

Jina la kike linahitajika chap

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
463
Reaction score
634
Wakuu kwema?

Sorry sana kwa usumbufu kama nitakuwa nimewakwaza, kama mungu atapenda inshallah Ndugu yenu ndani ya masaa 24 yajayo natarajia kupata katoto ka kike kutoka kwa shemeji/wifi yenu hivo naomba kwa anaejua jina la kike zuri aweze shea na mimi ili tumpatie binti yetu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati[emoji120]
 
Samia

samia.jpg
 
Hongera in advance mkuu... Kuhusu jina ungediscuss na mama mtoto, huenda kuna jina/majina ameandaa tayari
 
Back
Top Bottom