Rais wa wapare
Member
- Jul 8, 2020
- 17
- 21
Mkuu mwanamwana , asante sana kunishtua, japo mimi ni wakili lakini sio wakili msomi.Ngoja nmstue Pascal Mayalla wakili msomi
Kwanza nitangulize shukrani.
Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe.
Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana kusahihisha jina na kuendelea na utekelezaji na kama inawezekana anatakiwa afuate taratibu zipi?
Ahsante.
Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe
Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana kusahihisha jina na kuendelea na utekelezaji
kama inawezekana anatakiwa afuate taratibu zipi?
Nadhani hujaelewa concern yake msomi.Mkuu mwanamwana , asante sana kunishtua, japo mimi ni wakili lakini sio wakili msomi.
Jina likikosewa kwenye kesi yoyote inaitwa correctable defects, unatakiwa ku saini document inaitwa affidavit ambacho ni kiapo cha kurekebisha jina, kisha inarudi kwa hakimu, inatoka an addendum ya hiyo hukumu yenye jina sahihi na utekelezaji wa hukumu unaendelea.
P.
kesi ipo mahakama ya wilaya temeke na ni utekelezaji wa hukumu mkuuNadhani ingekua rahisi zaidi kusaidiwa kama ungesema kesi hiyo ilikua katika mahakama gani, kwani taratibu na sheria zinatofautiana kutokana na mahakama. Anyway, mimi nitakujibu kadri nielewavyo nikiassume kesi yako ilikua either mahakama ya wilaya, hakimu mkazi ama mahakama kuu.
Hujasema utekelezaji wa nini lakini naamini ulikua ukimaanisha utekelezaji wa hukumu. Hivyo basi nitakujibu kwa angle hiyo.
Ndio inawezekana chini ya kifungu cha 96 cha Sheria ya Mwenendo wa Madai / Civil Procedure Code (CPC). Kwa mujibu wa kifungu hicho, mahakama inaweza kurekebisha makosa ya kiuandishi au kihesabu katika hukumu, maamuzi, au amri wakati wowote. Inaweza fanya hivyo yenyewe tu au kwa maombi ya muhusika katika shauri. Kwa mfano, ikiwa jina la mdaiwa limekosewa katika hukumu au amri, mahakama inaweza kurekebisha kosa hilo ili kuhakikisha haki inatendeka.
Kama nilivyosema hapo juu marekebisho hayo yanaweza fanywa na mahakama yenyewe ama kwa maombi ya muhusika katika shauri. Kwaio kama mahakama aikugundua na kufanya marekebisho hayo, basi unatakiwa kufanya maombi mahakama hiyo hiyo iliyotoa hukumu.
Maombi hayo unayafanya kwa formal application yani Chamber Summons ikiambatana na kiapo (Affidavit) . Nadhani utafute Mwanasheria ili aweze kukusaidia suala hili kiuraisi zaidi.
Basi nimeshakujibu.kesi ipo mahakama ya wilaya temeke na ni utekelezaji wa hukumu mkuu
asante mkuu kwa majibu na ushauri mzuri🙏Nadhani ingekua rahisi zaidi kusaidiwa kama ungesema kesi hiyo ilikua katika mahakama gani, kwani taratibu na sheria zinatofautiana kutokana na mahakama. Anyway, mimi nitakujibu kadri nielewavyo nikiassume kesi yako ilikua either mahakama ya wilaya, hakimu mkazi ama mahakama kuu.
Hujasema utekelezaji wa nini lakini naamini ulikua ukimaanisha utekelezaji wa hukumu. Hivyo basi nitakujibu kwa angle hiyo.
Ndio inawezekana chini ya kifungu cha 96 cha Sheria ya Mwenendo wa Madai / Civil Procedure Code (CPC). Kwa mujibu wa kifungu hicho, mahakama inaweza kurekebisha makosa ya kiuandishi au kihesabu katika hukumu, maamuzi, au amri wakati wowote. Inaweza fanya hivyo yenyewe tu au kwa maombi ya muhusika katika shauri. Kwa mfano, ikiwa jina la mdaiwa limekosewa katika hukumu au amri, mahakama inaweza kurekebisha kosa hilo ili kuhakikisha haki inatendeka.
Kama nilivyosema hapo juu marekebisho hayo yanaweza fanywa na mahakama yenyewe ama kwa maombi ya muhusika katika shauri. Kwaio kama mahakama aikugundua na kufanya marekebisho hayo, basi unatakiwa kufanya maombi mahakama hiyo hiyo iliyotoa hukumu.
Maombi hayo unayafanya kwa formal application yani Chamber Summons ikiambatana na kiapo (Affidavit) . Nadhani utafute Mwanasheria ili aweze kukusaidia suala hili kiuraisi zaidi.
Mkuu mwanamwana , asante sana kunishtua, japo mimi ni wakili lakini sio wakili msomi.
Jina likikosewa kwenye kesi yoyote inaitwa correctable defects, unatakiwa kitu kinachoitwa chamber summons supported na affidavit ambacho ni kiapo cha kurekebisha jina, kisha inarudi mahakamani jina linarekebishwa tayari kwa utekelezaji.
P.
Thank youNgoja nmstue Pascal Mayalla wakili msomi
NB: Jina la hiyo kampuni daiwa lilikosewa tangu kesi inaanza na ilikosewa herufi moja tu na ile nadhani ni summons(kama sijakosea) iliyopelekewa hiyo kampuni daiwa ilikuwa na makosa hayo. je kwa hapo inawezekana kuendelea na utekelezaji wa hukumu maana makosa hayo yalitokea tangu mwanzo wa kesi mpaka mwisho ndio ikagundulika kosa hilo la jina?...asanteMkuu mwanamwana , asante sana kunishtua, japo mimi ni wakili lakini sio wakili msomi.
Jina likikosewa kwenye kesi yoyote inaitwa correctable defects, unatakiwa kitu kinachoitwa chamber summons supported na affidavit ambacho ni kiapo cha kurekebisha jina, kisha inarudi mahakamani jina linarekebishwa tayari kwa utekelezaji.
P.
NB: Jina la hiyo kampuni daiwa lilikosewa tangu kesi inaanza na ilikosewa herufi moja tu na ile nadhani ni summons(kama sijakosea) iliyopelekewa hiyo kampuni daiwa ilikuwa na makosa hayo. je kwa hapo inawezekana kuendelea na utekelezaji wa hukumu maana makosa hayo yalitokea tangu mwanzo wa kesi mpaka mwisho ndio ikagundulika kosa hilo la jina?...asanteBasi nimeshakujibu.
Hukumu ilisha toka?NB: Jina la hiyo kampuni daiwa lilikosewa tangu kesi inaanza na ilikosewa herufi moja tu na ile nadhani ni summons(kama sijakosea) iliyopelekewa hiyo kampuni daiwa ilikuwa na makosa hayo. je kwa hapo inawezekana kuendelea na utekelezaji wa hukumu maana makosa hayo yalitokea tangu mwanzo wa kesi mpaka mwisho ndio ikagundulika kosa hilo la jina?...asante
Kisheria, kunapotokea kosa lolote dogo, linarekebishwa bila kuathiri hukumu.NB: Jina la hiyo kampuni daiwa lilikosewa tangu kesi inaanza na ilikosewa herufi moja tu na ile nadhani ni summons(kama sijakosea) iliyopelekewa hiyo kampuni daiwa ilikuwa na makosa hayo. je kwa hapo inawezekana kuendelea na utekelezaji wa hukumu maana makosa hayo yalitokea tangu mwanzo wa kesi mpaka mwisho ndio ikagundulika kosa hilo la jina?...asante
Kwa mwanasheria yoyoteasante mkuu kwa majibu je hiyo affidavit inapatikana wapi?
Hukumu ilisha toka?
Sawa mkuu
Ahsante mkuu kwa muongozo wote...ila hii inaonekana ni big mistake mkuu au linarekebishika na kuendelea?Kisheria, kunapotokea kosa lolote dogo, linarekebishwa bila kuathiri hukumu.
Kukotokea kosa kubwa, defective plant, kesi inatupwa kwa technicalities
P
ndio kiongozi hukumu ilishatoka