Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

Jina ni kosa dogo, una jaza chamber summons supported by an affidavit, jina linarekebishwa, hukumu inaendelea
P
Pascal Mayalla Habari kiongozi natumaini u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.
Baada ya siku kadhaa kupata muongozo kutoka kwako leo hii nimerudi tena kuomba muongozo.
Nilifuata maelekezo yako nikatafuta mwanasheria nikamueleza lakini yeye hakuniambia kuhusu chamber summons by an affidavit zaidi akaniambia niende nikaonane na karani wa hakimu alietoa hukumu ya kesi
je kuna ulazima wa kwenda kuonana na karani au naweza kupata chamber summons by an affidavit ndipo niende nayo mahakamani na kama nikiipata hiyo chamber supported by an affidavit ikiwa tayari natakiwa niipeleke kwa nani mahakamani(kwa karani wa hakimu aliyetoa hukumu au kwa nani)...Nashukuru sana kwa msaada wako🙏
 
Basi kwa nijuavyo ndo kama nilivyokwisha kueleza rekebisha majina kwenye hukumu.​
Abdul S Naumanga
Habari kiongozi natumaini u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.

Back
Top Bottom