Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Jina ni kosa dogo, una jaza chamber summons supported by an affidavit, jina linarekebishwa, hukumu inaendeleaAhsante mkuu kwa muongozo wote...ila hii inaonekana ni big mistake mkuu au linarekebishika na kuendelea?
Asante sanaa kiongozi kwakweli umenipa mwanga sasa nashukuru sana🙏🙏Jina ni kosa dogo, una jaza chamber summons supported by an affidavit, jina linarekebishwa, hukumu inaendelea
P
shukrani kwa msaada wako mkuu umenipa muongozo mzuri asante🙏🙏Basi kwa nijuavyo ndo kama nilivyokwisha kueleza rekebisha majina kwenye hukumu.
Pascal Mayalla Habari kiongozi natumaini u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.Jina ni kosa dogo, una jaza chamber summons supported by an affidavit, jina linarekebishwa, hukumu inaendelea
P
Abdul S NaumangaBasi kwa nijuavyo ndo kama nilivyokwisha kueleza rekebisha majina kwenye hukumu.