BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo
"Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi tena unamatatizo na Afya ya akili ni tatizo ambalo linampata kila mtu ni kama vile Afya ya mwili inavyopata inavyopata misukosuko Afya ya akili nayo inapata misukosuko" - Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya wakati akitoa taarifa kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza Watumishi wa Sekta ya Afya katika fani za ubingwa na ubingwa bobezi.