Odo kama Odo!Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo
"Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi tena unamatatizo na Afya ya akili ni tatizo ambalo linampata kila mtu ni kama vile Afya ya mwili inavyopata inavyopata misukosuko Afya ya akili nayo inapata misukosuko" - Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya wakati akitoa taarifa kuhusu mpango wa Serikali wa kuendeleza Watumishi wa Sekta ya Afya katika fani za ubingwa na ubingwa bobezi.
Vipi yule nabii wenu feki Magufuli?Yeye mwenyewe mwanachama wa mirembe..
Mamangu yu hai hapa duniani... labda mamako aliyeko kuzimu na yule nabii wenu feki.Yule yuko anpiga mashine mama yako.. nenda kamcheki mama yako utakuta anakatika kwenye kiti alichokalia... ujue kakalia nyama ndefu..
Akiri ya wapi hii chiefYule yuko anpiga mashine mama yako.. nenda kamcheki mama yako utakuta anakatika kwenye kiti alichokalia... ujue kakalia nyama ndefu..
Uko smart sana...yaani anashindwa kuelewa kama limewakera watu ni kwamba imetokana na kufamika kwa hospital hiyo inashughulika na nini....kwa hiyo hata akibadili Jina ni suala la muda tu....watu litawakera tenaa....Hilo watakaloweka na Watu wataenda nalo itakuwa ni kitu hichohicho...mfano waiite Hospitali ya Sebi, watasema tu "wewe wa kupelekwa Sebi".
Tafuteni kichaa mmoja huko serikalini muipe jina lake.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo