Jina la mtangazaji linakukosha!

Kuna mtangazaji wa Tbc mwanamke ana macho mazuri daaaaah!!!! yaaaani mpaka basii.... sijui anaitwa nani? akikuangalia tuuu..... utadhani anakuita umugegede
 
1.David Wakati
2.Athumani Magoma
3.Abdul Masoud kijauhewa
4.Omar Bakar
5.Lenard Mambo Mbotela-VOK
6.Abdul Ngarawa
7.Chama Omary Matata
8.Abubakar Lyongo
9.Suleiman Kumchaya
10.Julias Nyaisanga
 
Samadu Hassan & Mzee Alfred Masako..
hawa watu ni wataalamu wa kuelezea mambo. Samadu ninamkubali sana hususani kwenye kile kipindi cha anga za kimataifa. DW radio- Omilkeir ananikosha anapotangaza sauti yake ni unique.
 
aise huyu dada yupo wapi nyakati hizi
Alikua radio one stereo, akahamia bbc london idhaa ya kiswahili na mara ya mwisho kumsikia alikua radio ya umoja wa mataifa.
Kwa kuongezea tu aliwahi kusoma London Metropolitan University nchini Uingereza.
Ni hayo tu ninayoyajua kuhusu huyo dada
 
1.Tumbo Risasi.
2.Mzee wa Marosoroso,masotojo na madikodiko.
 
Dotto Emmanuel Bulendu
Ivona Kamuntu
Lulu Hassan - Citizen K
Issa Lembuya -RIP
David Wakati-RIP
Kanze Dinnah-Citizen K
Hussein -Citizen K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…