Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Jakob Tesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimiHuwa nahamisha channel
Mkuu mbona amefariki mwaka jana kama sikosei tena kuna uzi wake humuBen Kiko, sijui hata yupo wapi!!!
Ungemalizia nkwanga.Charles Hilary
Mie nilidhani huyu ni mzungu!![]()
Oumilkheir -DW SWAHILI
aise huyu dada yupo wapi nyakati hiziFlora Nducha
hawa watu ni wataalamu wa kuelezea mambo. Samadu ninamkubali sana hususani kwenye kile kipindi cha anga za kimataifa. DW radio- Omilkeir ananikosha anapotangaza sauti yake ni unique.Samadu Hassan & Mzee Alfred Masako..
Alikua radio one stereo, akahamia bbc london idhaa ya kiswahili na mara ya mwisho kumsikia alikua radio ya umoja wa mataifa.aise huyu dada yupo wapi nyakati hizi
huyu huwa ananikosha kabisa hasa akiwa anasoma habari za bara Asia kwenye vita![]()
Oumilkheir -DW SWAHILI
hongeza na FAREED ZAKARIA,OUMYLAKHERI,
SAMADU HASSAN
Mimi ni Geoooorge Maratummmm,wa ITVmmmm!