Jina la Nicole lishakuwa gumzo mtaani, kila mtoto anapewa

Watu hawajielew wanaanza kidogkdog kujidhalau /kujishusha hadhi yao eg, wameanza kujikoboa wae weupe km wazungu, maisha ndani ya tamthilia, majiNa ya tamthilia yaan kila kitu tamthilia huku wanaacha utamadun wao unazorota.
Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.
 
Nakumbuka Karini...na Kelvin
NI msimu wakuonyesha ni jinsi gani hatujitambui angalau kina Ntibantunganya wanajielewa
 
Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.
ahahahahh uwiii!!!! mbav zangu,,,,, alaf akisema `baby pull my hair' unakutana na mistar ya nywele orginal----- ila hyo huaga n style na ina msimu.
 
ahahahahh uwiii!!!! mbav zangu,,,,, alaf akisema `baby pull my hair' unakutana na mistar ya nywele orginal----- ila hyo huaga n style na ina msimu.
Sipendi hayo makitu, unamkuta Mdada kajikwatua safi sana, kichwani nywele zimelala mpaka mgongoni, mkifika room, katika maandalizi unamvua nguo mpaka na c...p, baada ya hapo unamkalisha kwenye sofa na kuendelea kumshika shika maeneo yanayoamsha maaskari, ghafla unaona natoa zile nywele ndefu na kuziweka mezani na kubaki na kipara, sasa kama zile nywele ndo zilikuvutia, unakuta stimu inaisha !!!!
 
Labda tu useme jina limekua common.Lakini ukisema tabia za hao Nicole wa kwenye tamthilia watazirithi hii ina tegemeana na mpaji jina alinuia nini.Mfano jina john kwani john wote washakua maraisi.
Au Mbatizaji
 
hahahah asilimia kubwa mtu anampenda muigizaji hadi anakuwa na Mimba anamuwazia aitw jina hilo.
Kama ni ivo basi hata tabia za huto muigizaji zitakua zimemvutia kwa iyo hata mwanae akiwa nazo ataridhika
 
Kama ni ivo basi hata tabia za huto muigizaji zitakua zimemvutia kwa iyo hata mwanae akiwa nazo ataridhika
halikadhalika na majanga/mikasa aliypitia bas na ya mtoto iwe ivo?
 
hahah ukiona mtu anampa mtot jina la wazungu hata maisha yake ni y sinema.
hata ww ulichoandika kina reflect maisha yako,ilikuwa naulazima gani kujipa hilo jina kama ID??kama unachuki binafsi na maisha ya watu vile!!hauna chakufanyaumekalia majungu waache watu wajiliwaze maisha yenye ya bongo zigzag..ulitaka wawaite watoto wao Pombe,Mtera,ghasia huoni haya majina yana endana na tabia zahawa wahusika
 
umefanya utafiti au unatuletea habari za kwenu?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…