Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.Watu hawajielew wanaanza kidogkdog kujidhalau /kujishusha hadhi yao eg, wameanza kujikoboa wae weupe km wazungu, maisha ndani ya tamthilia, majiNa ya tamthilia yaan kila kitu tamthilia huku wanaacha utamadun wao unazorota.
AlejandroHaya nakupa kazi nichagulie jina la mtoto wa kiume
Nakumbuka Karini...na KelvinHabarini!!!!
Hivi sasa kumekuwa na hali ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kwenye tamthilia hasa hili jina la 'Nicole'. Hata humu ndani kina Nicole na mama/baba Nicole wapo wengi sana.
Je mnajua maana/ tabia halisi na chanzo cha kuitwa Nicole? Mmemwona Nicole wa tamthilia ya 'Without You' na nyinginezo matendo yao yapoje? Usije ukashangaa mtoto anakuja kuwa na matendo ya ajabu mpaka unastaajabu kumbe tatizo ni jina tu.
Binti ana mimba mpaka majirani tunakuwa tumeshajua jina la atakayezaliwa kuwa ni Nicole. Nicole imekuwa kama kandambili za Yeboyebo!
ahahahahh uwiii!!!! mbav zangu,,,,, alaf akisema `baby pull my hair' unakutana na mistar ya nywele orginal----- ila hyo huaga n style na ina msimu.Ongeza na wale wanatumia muda mwingi kuweka nywele ziwe kama za akina Nicole, hala kila akitembea anazungusha kichwa na shingo kama ng'ombe anayefukuza nzi au anaondoa nywelie kwa kutumia vidole.
Sipendi hayo makitu, unamkuta Mdada kajikwatua safi sana, kichwani nywele zimelala mpaka mgongoni, mkifika room, katika maandalizi unamvua nguo mpaka na c...p, baada ya hapo unamkalisha kwenye sofa na kuendelea kumshika shika maeneo yanayoamsha maaskari, ghafla unaona natoa zile nywele ndefu na kuziweka mezani na kubaki na kipara, sasa kama zile nywele ndo zilikuvutia, unakuta stimu inaisha !!!!ahahahahh uwiii!!!! mbav zangu,,,,, alaf akisema `baby pull my hair' unakutana na mistar ya nywele orginal----- ila hyo huaga n style na ina msimu.
Au MbatizajiLabda tu useme jina limekua common.Lakini ukisema tabia za hao Nicole wa kwenye tamthilia watazirithi hii ina tegemeana na mpaji jina alinuia nini.Mfano jina john kwani john wote washakua maraisi.
Kama ni ivo basi hata tabia za huto muigizaji zitakua zimemvutia kwa iyo hata mwanae akiwa nazo ataridhikahahahah asilimia kubwa mtu anampenda muigizaji hadi anakuwa na Mimba anamuwazia aitw jina hilo.
PacoHaya nakupa kazi nichagulie jina la mtoto wa kiume
Tatu au Shida ukipenda sana muite MwanneIteni watoto majina ya kiafrika acheni utumwa.
hata ww ulichoandika kina reflect maisha yako,ilikuwa naulazima gani kujipa hilo jina kama ID??kama unachuki binafsi na maisha ya watu vile!!hauna chakufanyaumekalia majungu waache watu wajiliwaze maisha yenye ya bongo zigzag..ulitaka wawaite watoto wao Pombe,Mtera,ghasia huoni haya majina yana endana na tabia zahawa wahusikahahah ukiona mtu anampa mtot jina la wazungu hata maisha yake ni y sinema.
Hahahaaa unanikumbusha.. ila sasa majina haya yaPaco