hahah ukiona mtu anampa mtot jina la wazungu hata maisha yake ni y sinema.
Hoshea hivi nalo ni jina la kiafrika? Mmmh!!! Au unamaanisha 'hoshea' ya 'fulia' kama nguo hivi!
sijasema ID za humu---- ukitaka uztafakar utachoka.
Wachagga wamelogwa na majina ya kizungu, usishangae sana. Sijawahi kusikia mchagga mwenye jina la asili, unless ofcoz yale ya manka, ndeanka, kyekuu etc.Huko Kilimanjaro watoto wa kiume wengi sana hupewa jina la Brayan hii kitu hunishangaza sana
wenzako ww ndio wanakuona mshamba, wanataka mambo ya kidhungu, eg Lupita Nyong'o hii iko poa, ina identity ya kiafrikaIteni watoto majina ya kiafrika acheni utumwa.
yapo mengi tu, sio hayo pekeeTatu au Shida ukipenda sana muite Mwanne
Drinkwater, ila wanaoinfluence saana vitu kama hivi kwenye familia wanakuwa sana wanawake kuliko wanaumeBasi ita yeye Alfonso
Kabila linaloongoza kwa kuwapa hao watoto majina ya kizungu ni wachagga
Makabila yanayoongoza kuwapa watoto majina ya asili ni Wamasai na Wakurya.
Pia kwa waislam kuna haya ya Nasra, Nurrat na Salma yalikuwa common sana.