Jina la Nicole lishakuwa gumzo mtaani, kila mtoto anapewa

Jina la Nicole lishakuwa gumzo mtaani, kila mtoto anapewa

Yale ya wanaozaliwa msimu wa WORLD CUP ndio kiboko ukilikuta limeandikwa hulisomi labda umuombe tu akutamkie jina lake
ahahah kama la MESI lile la kwanza bibi / babu adi anasahau anamwita nani.
 
sijasema ID za humu---- ukitaka uztafakar utachoka.

ID ni moja ya vitu vinavyotudefine, ungeweka hata jna la kijij chenu kama haupend huo so called utamthlia. Au hata ungejiita mim pia.
 
Waachena mijina yao bila kusahau Junior, Brian
inajirudia kama miaka ya zamani na jina la mary/maria watu wenye miaka kuanzia 50-30 ndio wana majina hayo
Na hili la Neema/Grace wenye miaka 20's nao mlindikano
 
Kuanzia leo iteni watoto wenu majina ya Chacha, Mwita, Marwa, Bhoke, Masawe, Mlay, Mdoe, Maganga, Buyunzu, Nakapanya, Mushi, nk[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kabila linaloongoza kwa kuwapa hao watoto majina ya kizungu ni wachagga

Makabila yanayoongoza kuwapa watoto majina ya asili ni Wamasai na Wakurya.

Pia kwa waislam kuna haya ya Nasra, Nurrat na Salma yalikuwa common sana.
 
Kuna mdada namfahamu anaitwa Nicole ni kicheche huyo. duuuhhh
Imenibidi nikate kamba na yeye maana anatisha na tabia yake.
 
tatizo mijna mingine yakibantu aina maana kabisa eti utasikia MASUMBUKO,SIKUJUA,SHIDA na mwingne tunae anaitwa NANTOMBEE sasa si noma ilo
 
Back
Top Bottom