Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi husika.
Wakati umefika kuipatia timu yetu ya Taifa jina ambalo litaitangaza nchi yetu kimataifa.
Wakati umefika kuipatia timu yetu ya Taifa jina ambalo litaitangaza nchi yetu kimataifa.