Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

Katika kutangaza utalii kwa ujumla napendekeza iitwe KILIMANJARO au MIKUMI STARS,,, 💪🏽💪🏽
 
Kuipa timu ya Taifa jina ni jukumu la nani? Tff au wizara ya michezo...au nalo linahitaji vikao?

Yaani mambo madoogo ya kuamua kwa niaba ya taifa yanaletaga vigugumizi visivyo na msingi kabisa....

Tff ndio mwny naming rights za kuzipa majina timu zote za Taifa zikiwemo timu za vijana na wanawake.sio kila kitu mpaka kupiga kura kwny vikao vya maamuzi.
kama Tff ndio wanadizaini jezi wanashindwaje kutoa jina la timu yake yenyewe.

We fikiria eti hadi Leo vazi la Taifa limeshindikana kuchagulika..kila siku kwny vikao vyao ubishi tu.

Cha ajabu zaidi, Wizara ya michezo kwa wakati woote ilishindwa kuupa jina tu uwanja wa Taifa...mpaka washabiki wakaamua kuubatiza wenyewe KWA MCHINA.

Kuona hivyo, waziri; kwa kuona aibu, (wakati huo mwakyembe)akatoka hadharani na jina la Ben mkapa..
Nchi hii ya ajabu sana.
 
Back
Top Bottom