Zanzibar heroes haitambuliwi na FIFA!Kuna Zanzibar heroes kwahiyo hatuhitaji kuwa na Tanzania stars bali Tanganyika stars
Taifa stars ni fupi liendelee hata mimi niliwaza hivyo, lazima tuwe na kitu fikirishi, (unique),what country is taifa, (nchi gani inaitwa taifa), what does taifa stars mean, (ni wachezaji nyota wa taifa), National -Taifa, National players - wachezaji wa taifa, (Taifa stars)Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi husika.
Wakati umefika kuipatia timu yetu ya Taifa jina ambalo litaitangaza nchi yetu kimataifa.
Netherlands - the orangesHili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi husika.
Wakati umefika kuipatia timu yetu ya Taifa jina ambalo litaitangaza nchi yetu kimataifa.
Bafana Bafana -vijanaHarambee Stars,The Cranes,Les Bleus,The Pharaos,La Rojas,Bafana bafana,Three Lions,Taifa Stars,The Mambas,,,,,,,,,
Kuwa muelewa, hayo majina yote uliyoorodhesha yanawakilisha nembo za mataifa yao, na siyo kwamba yamebuniwa bila sababu.Netherlands - the oranges
England -three lions
Kenya-Harambee stars
Uganda-the cranes
Hao wamejitaja wapi kwa majina ya nchi? Nickname unataka tena iwe na jina la nchi? Wewe umeona wapi? Wengine hawa hapa
View attachment 3092948
Selecao ni nembo ya Brazil?Kuwa muelewa, hayo majina yote uliyoorodhesha yanawakilisha nembo za mataifa yao, na siyo kwamba yamebuniwa bila sababu.
Sasa sisi neno Taifa linawakilisha nini kwenye timu ya Taifa?
Selecao siyo nembo ya Brazil lakini lina maana ya wateule au waliochaguliwa katika timu ya mpira wa miguu! Afrika ya Kusini timu yao inaitwa Bafana Bafana yaani vijana shupavu wa kiume na Banyana Banyana ni vijana shupavu wa kike.Selecao ni nembo ya Brazil?
Maana yake ni hiyo hiyo nyota (wateule) wa taifa. Hujui maana ya taifa na nyota na bado unalalamika. Utakua na hobby ya ubishiSelecao siyo nembo ya Brazil lakini lina maana ya wateule au waliochaguliwa katika timu ya mpira wa miguu! Afrika ya Kusini timu yao inaitwa Bafana Bafana yaani vijana shupavu wa kiume na Banyana Banyana ni vijana shupavu wa kike.
Sasa Taifa ni nini kwenye timu ya mpira wa miguu?
Kukuelimisha wewe kunahitaji nguvu ya ziada kwa kuwa huwezi kupata concept ya hoja!Maana yake ni hiyo hiyo nyota (wateule) wa taifa. Hujui maana ya taifa na nyota na bado unalalamika. Utakua na hobby ya ubishi
Na Simba watatu ni nini kwenye mpira wa miguu?Sasa Taifa ni nini kwenye timu ya mpira wa miguu?
Hoja yangu ni kuwa na jina ambalo linawakilisha nembo, utamaduni, rasilimali au eneo letu mashuhuri! Kama ulivyopendekeza "Izia Maji Stars" linaweza kuwa super!Ulikuwa na hamu ya kuiponda stars, wameshinda ukaona uje na hoja ya kuponda jina. What's in the name? once a famous poet asked
Kama vile tanzanite hivi?Hoja yangu ni kuwa na jina ambalo linawakilisha nembo, utamaduni, rasilimali au eneo letu mashuhuri! Kama ulivyopendekeza "Izia Maji Stars" linaweza kuwa super!
Sawa kabisa kwa kuwa po pote timu ikienda tanzanite yetu itatangazwa.Kama vile tanzanite hivi?