Uko mkoa pia unaitwa Tanga,na kuna eneo ndqni ya mkoa huo,kunaitwa Tanganyika.Inasemekana neno Tanga maana yake ni shamba ni neno la kiajemi(Iran). Kwa hiyo Tanga(shamba) na nyika ni pori. Lipo kabila pia la mkoa wa Tanga, wabondei, shamba wanaita Tanga.Hata kule Mlimba Morogoro kuna eneo linaitwa Tanganyika Masagati. Kuna machungwa matamu balaa!! Vipi huko Tanganyika ya Katavi, kuna vitu gani vitamu?
Hakuna tatizo kabisa, tena badala ya kulaumu ulipaswa kupongeza angalau Tanganyika inasikika.Wakuu,
Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?
Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?
CC: Pascal Mayalla
Kwani Tanganyika ni ipi?Wakuu,
Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?
Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?
CC: Pascal Mayalla
Hii nchi inafaa irudishiwe jina lake la kihistoria kabla ya ujio wa wazungu. Zenjbar = Bara la wazenji.Wakuu,