Jina la Tanganyika kupewa wilaya ni dharau kwa jina hilo tukufu

Wakuu,

Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?

Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?

CC: Pascal Mayalla
Vipi hapo Mtaa wa Simba na Fisi ..zedigito na kwa switimanka ...Ikola ya Congo
 
Uko Mkoa unaitwa Tanga ni kifupi cha Tanganyika na huu mkoa ndio uliozaa jina la nchi ya Tanganyika,jina Tanga(Tanja),inasemekana ni jina la asili ya Kiajemi(Iran), iikiwa na maana ya Shamba, kwa hiyo maana ya Tanganyika ni Shamba na nyika(pori).Ña pia liko.kabila mkoani Tanga,shamba wanaita Tanga.
Ndo maana nchi ni shamba la bibi
 
Soma historia yenu kabla ya kuanika ulivyo mweupe hapa.

Hiyo wilaya Ipo Kabla nchi yenu haijulikani kama ni nchi. Matter of fact, nchi ya Tanganyika ilikopa jina lake huko and not the other way around.

Congo kuna eneo linaitwa Tanganyika kwa sasa ni Jimbo la Tanganyika ambalo lilikua linafika hadi huku Tanzania ya Leo. Yote ilikua ndani ya Congo.

Tanganyika province Ipo hadi Leo huko Congo mpaka ni ziwa Tanganyika lenyewe. Nyie ndo mmecopy wao.

Siku nyingine nitakueleza waroma walivyo fanya hilo jina kukua na hatimaye kuwa jina la nchi kabisa.
Kalema
 
Siku nyi

Siku nyingine, siku nyingine, ndo imetoka hio, hautokuja kutuelezea, tushawazoea
 
Soma historia yenu kabla ya kuanika ulivyo mweupe hapa.

Hiyo wilaya Ipo Kabla nchi yenu haijulikani kama ni nchi. Matter of fact, nchi ya Tanganyika ilikopa jina lake huko and not the other way around.

Congo kuna eneo linaitwa Tanganyika kwa sasa ni Jimbo Tanganyika ambalo lilikua linafika hadi huku Tanzania ya Leo Kabla ya mipaka ya mkoloni.

Kadhalika ziwa Tanganyika linaitwa hivyo hivyo Kabla hata wakoloni hawajafika.

Siku nyingine nitakueleza waroma walivyolikuza hilo jina na hatimaye kuwa jina la nchi kabisa
Wilaya IPO KABLA YA NCHI??
 
Wakuu,

Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?

Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?

CC: Pascal Mayalla
Kwahiyo hata ziwa Tanganyika halikustahili kuitwa hivyo. Uko baa gani wakuongeze bia.
 
Wilaya IPO KABLA YA NCHI??

Majina yametangulia hizo jurisdiction ziliduata baadaye.

Kwa akili yako ziwa Tanganyika lilikua linaitwaje Kabla ya wakoloni?

Tanganyika Jimbo la Congo unadhani liliiga nchi yenu? Kaulize Hilo eneo linaitwa Tanganyika toka lini huko Congo utapata jibu.
 
Mkuu.

Tunazungumzia wilaya ya TANGANYIKA.

SIYO ZIWA WALA JIMBO LA KONGO.

Unasema wilaya ya TANGANYIKA ilikuwepo kabla ya NCHI?

Hoja yangu ni wilaya kupewa jina la TANGANYIKA.
 
Uwe muelewa.

Nakwambia Hilo eneo lote linaitwa Tanganyika Kabla hata wakoloni hawajafika.

Linaitwa Tanganyika Kabla hata ya kupewa hadhi ya wilaya. Jina limetangulia, nchi ya Tanganyika imekuja bdae kabisa let alone hadhi ya wilaya.

Hilo eneo linaitwa Tanganyika Kabla hata nchi ya Tanganyika haipo.

Eneo la Tanganyika stretches from Congo, ziwa lenyewe na huu upande wa Tanzania ya sasa.

Unajua nini kilisababisha nchi yote kuitwa Tanganyika na watu waliosababisha Hilo?
 
We ni ndukum kweli ni vitu vingapi vimepewa jina la Tanganyika,acheni kuwa mnatujazia ujinga himu na maadmin nayo yapo tu yanaangali kazi kufuta nyuzi bora na kuacha haya maujonga
 
Back
Top Bottom